Baada ya Ombi lako Kusikizwa
IRB-RPD wanaweza kutoa maamuzi kuhusu dai lako la ulinzi wa wakimbizi wakati wa kikao chako cha kusikilizwa au baadae. Elewa hatua zitakazofuata ikiwa dai lako litakubaliwa. Pia, jifunze ni nini kitakachofuata ikiwa dai lako litakataliwa.
Dai Lako la Ukimbizi lImekubaliwa
Fanya Ombi la Makazi ya Kudumu
Linda Hali Yako ya Ukimbizi
Ombi lako la Ukimbizi limekataliwa
Rufaa kwa Kamati ya Uhamiaji na Wakimbizi – Kitengo cha Rufaa ya Wakimbizi (IRB-RAD)
Mapitio ya Mahakama ya Shirikisho ya Kanada
Tathmini ya Hatari kabla ya Kuondolewa (PRRA)
