Safari Yangu ya Madai ya Ukimbizi (4)

1.1Mchakato wa Madai ya Ukimbizi Wafafanuliwa

[…] pa hatari, huenda usiruhusiwe kukaa Kanada. Ni lazima uonyeshe kuwa wewe ni Mkimbizi kulingana na Mkataba wa Geneva au wewe ni Mtu Anayehitaji kulindwa. Mkimbizi kulingana na Mkataba wa Geneva […]

4.6Mahojiano ya Ustahiki

[…] kuwa huwezi kufanya dai la ukimbizi nchini Kanada. Huenda usistahiki ikiwa: Wewe ni mkimbizi wa Mkataba wa Geneva katika nchi nyingine ambayo unaweza kwenda. Ulituma dai la ukimbizi nchini Marekani, […]

4.2Makubaliano ya salama ya Nchi ya Tatu

[…] Makubaliano ya Salama ya Nchi ya Tatu (STCA) inafanya kuwa vigumu kuomba ulinzi wa wakimbizi. Mkataba unasema kwamba unapaswa kufanya dai lako la ukimbizi katika nchi ya kwanza salama unayoingia. […]

4.1Anzisha Dai Lako la Ukimbizi

[…] wa Wakimbizi (IRB-RPD) huamua kama utapata ulinzi. Muhimu! Ukivuka mpaka kuingia Kanada kutoka Marekani, fahamu Mkataba wa Nchi ya Tatu Salama (STCA). STCA inafanya kuwa vigumu kuomba ulinzi wa wakimbizi. Vizuri kujua… Ukiamua kuondoa dai […]