4.8Tovuti ya IRCC
Fahamu Tovuti ya IRCC Ikiwa tayari uko ndani ya Kanada unapoanzisha dai lako la ukimbizi, utawasilisha dai lako la ukimbizi kwa kutumia tovuti inayoitwa IRCC Portal. Utajibu maswali na kutuma katika Fomu […]
Tafuta Matokeo ya:
Fahamu Tovuti ya IRCC Ikiwa tayari uko ndani ya Kanada unapoanzisha dai lako la ukimbizi, utawasilisha dai lako la ukimbizi kwa kutumia tovuti inayoitwa IRCC Portal. Utajibu maswali na kutuma katika Fomu […]
[…] haijaandikwa kwa lugha ya Kiingereza au Kifaransa, lazima utume: Tafsiri ya Kiingereza au Kifaransa. Tazama tovuti ya IRCC ili ufuate mahitaji yao ya kutafsiri hati. Ikiwa huwezi kupata mtafsiri aliyeidhinishwa atafsiri hati […]
[…] wako wa ustahiki tarehe utakayoulizwa! Afisa wa CBSA pia anaweza kukuambia ukamilishe ombi lako kwenye Tovuti ya IRCC kutoka ndani ya Kanada. Baada ya kutuma ombi lako utapokea maagizo ya kuhudhuria mahojiano […]
[…] Elewa mchakato wa kutoa dai ukiwa ndani ya Kanada Ni lazima ujaze kila kitu kwenye Tovuti ya IRCC na uwasilishe hati zinazohitajika mtandaoni ili kuanza dai lako la ukimbizi. Baada ya kutuma […]
[…] Kuingia, zingatia makataa ya Fomu ya BOC. Isipokuwa umeambiwa ukamilishe dai lako la ukimbizi kupitia Tovuti ya IRCC, una siku 45 za kukamilisha na kutuma Fomu yako ya BOC kwa IRB-RPD. Unapofanya […]
[…] kujua. Hati zote ambazo haziko kwa Kiingereza au Kifaransa lazima zitafsiriwe na mtafsiri aliyeidhinishwa. Tazama tovuti ya IRCC ili kufuata mahitaji yao ya kutafsiri hati. Baada ya kutuma ombi Unaweza kusasisha ombi […]
[…] lako la ukimbizi kuamuliwa. Kibali chako cha kazi kitatumwa kwa anwani ya barua uliyoweka kwenye tovuti ya IRCC. Muda wa kupokea kibali chako cha kazi unategemea muda wa sasa wa usindikaji. Katika […]
[…] hati zozote wanazochukua. Miadi ya bayometriki na IRCC ndani ya nchi Ukituma dai lako kupitia tovuti ya IRCC, IRCC itakutumia tarehe ya miadi ya kuchukua bayometriki zako. Majina ya wanafamilia wanaohitaji kuhudhuria […]
[…] uwe Kanada. Ikiwa uko ndani ya Kanada: kamilisha na utume ombi lako la mtandaoni kwenye tovuti ya IRCC, au Ikiwa uko mpakani, kwenye uwanja wa ndege, au katika kituo cha kizuizini: mwambie […]
[…] wa kujaza fomu zako za kudai ukimbizi – unaweza kuambiwa ujaze fomu hizi mtandaoni kupitia tovuti ya IRCC. Baada ya kurejea na kuafnya mahojiano ya kustahiki, ikiwa utapatikana kuwa unastahiki, utapokea Hati […]
[…] hadithi yangu itaaminika? Usijali! Kuna watu wengi ambao wanaweza kukusaidia kwenye huu mchakato. Rudi kwenye tovuti hii wakati wowote ili upate msaada. Pata usaidizi wa kisheria Mchakato wa kudai ukimbizi […]
[…] Wakimbizi na Uraia Kanada Kituo cha Simu cha IRCC: 1-888-242-2100 Fomu ya Wavuti ya IRCC Tovuti Alberta Calgary Harry Hays Building, 220 4 Avenue SE, Chumba 210, Calgary, AB, T2G […]