Safari Yangu ya Madai ya Ukimbizi (7)

4.9Msingi wa Madai na Simulizi

Fahamu Msingi wa Fomu ya Madai Fomu ya Msingi wa Madai (BOC)  ndiyo hati muhimu zaidi katika dai lako la ukimbizi. Ndani yake, unatoa maelezo kuhusu wewe ni nani na sababu kwa nini unataka […]

4.6Mahojiano ya Ustahiki

[…] kwa ana, na habari kutoka kwa mahojiano yako. CBSA pia hutuma maelezo haya kwa IRB-RPD. Fomu ya Msingi wa Madai (BOC) (moja kwa kila mwanafamilia). Lazima ujaze na utume Fomu yako ya BOC kwa […]

4.8Tovuti ya IRCC

[…] dai lako la ukimbizi kwa kutumia tovuti inayoitwa IRCC Portal. Utajibu maswali na kutuma katika Fomu yako ya BOC na hati kupitia tovuti. IRCC hutumia maelezo unayowasilisha kuamua kama unastahiki […]

4.3Dai La Bandari la Kuingia

[…] dai la ukimbizi, anaweza kukuuliza maswali ili kuamua kama unastahiki kudai. Kwa kawaida pia watajaza fomu za madai ya ukimbizi pamoja nawe, watachukua hati zako za kitambulisho na/au pasipoti, na […]

2.1Anzisha Dai lako la Ukimbizi

[…] usaidizi wa kisheria haraka uwezavyo. Pindi utakapoamua kufanya dai lako, pata usaidizi wa kisheria kujaza Fomu yako ya Msingi wa Madai (BOC). Itachukua muda kufanya kazi na mwakilishi wa kisheria […]

1.2Kutana na Wakala Tatu za Serikali

[…] Wakimbizi (RPD) cha IRB huamua kama unaweza kupata ulinzi wa wakimbizi nchini Kanada. IRB-RPD: Soma Fomu yako ya Msingi wa Madai (BOC) na hati zako zingine na ushahidi Huendesha usikilizaji […]

3.2Kufanya kazi na Mwakilishi wako wa Kisheria

[…] mwakilishi wako wa kisheria hapaswi kufanya Mwakilishi wako wa kisheria hapaswi: aache kuwasiliana nawe Atume fomu bila jina lake kama mwakilishi wako Akuambie uongo au aache kueka taarifa kwenye hati […]