Sheria Mpya nchini Kanada zinaweza kuathiri ustahiki wa dai lako la ukimbizi, hata kama tayari umewasilisha ombi lako. Baadhi ya taarifa kwenye tovuti hii zimepitwa na wakati. Tunazisasisha. Zungumza na wakili au mtoa huduma wa makazi unayemwamini. Jifunze Zaidi

Kijitabu cha Mwelekeo (Orientation Booklet)

Kijitabu hiki chenye michoro kinakupa muhtasari rahisi kusoma wa mchakato wa ulinzi wa wakimbizi nchini Kanada. Ichapishe na uitumie katika kila hatua ya safari yako ili uendelee kujipanga. Rekodi tarehe muhimu. Tumia orodha za ukaguzi. Tafuta viungo muhimu vya habari.

Je, unahitaji Msaada?

Barua Pepe: [email protected]