Sheria Mpya nchini Kanada zinaweza kuathiri ustahiki wa dai lako la ukimbizi, hata kama tayari umewasilisha ombi lako. Baadhi ya taarifa kwenye tovuti hii zimepitwa na wakati. Tunazisasisha. Zungumza na wakili au mtoa huduma wa makazi unayemwamini. Jifunze Zaidi

Usajili wa Ziara ya Matayarisho ya Kusikizwa- Mdai Mkimbizi

* Sehemu zinazohitajika

Maelezo Yako

Je, unahitaji usaidizi?

Barua Pepe [email protected]