Sheria Mpya nchini Kanada zinaweza kuathiri ustahiki wa dai lako la ukimbizi, hata kama tayari umewasilisha ombi lako. Baadhi ya taarifa kwenye tovuti hii zimepitwa na wakati. Tunazisasisha. Zungumza na wakili au mtoa huduma wa makazi unayemwamini. Jifunze Zaidi

Dai la Ndani ya Nchi

Ikiwa uko Kanada, utaanza dai lako la ukimbizi kwa kutumia tovuti inayoitwa IRCC Portal.

Elewa mchakato wa kutoa dai ukiwa ndani ya Kanada

Ni lazima ujaze kila kitu kwenye Tovuti ya IRCC na uwasilishe hati zinazohitajika mtandaoni ili kuanza dai lako la ukimbizi.

Baada ya kutuma maombi yako kwenye Tovuti ya IRCC, utapokea:

IRCC watawasiliana na wewe ili ukamilishe miadi ya bayometriki ana kwa ana na ufanye mahojiano yako ya kuamua kama unastahiki.

Iwapo utapatikana unastahili kufanya dai la ukimbizi, utapokea:


Sehemu inayofuata ya mwongozo: 4.5 Miadi wa Bayometriki.