Matokeo ya Utafutaji ya ਆਈਆਰਸੀਸੀ (IRCC) ਪੋਰਟਲ
Tafuta Matokeo ya:
Safari Yangu ya Madai ya Ukimbizi (20)
4.6Mahojiano ya Ustahiki
Baada ya kuwasilisha dai lako la ukimbizi, afisa wa CBSA au IRCC atakuuliza maswali ili kuamua kama dai lako linastahili kupelekwa kwa IRB-RPD. Haya huitwa mahojiano ya kuamua kama dai…
7.3Fanya Ombi la Makazi ya Kudumu
Unaweza kutuma ombi la ukazi wa kudumu (PR) nchini Kanada ikiwa IRB-RPD au IRB-RAD itakubali dai lako peke yake. Ni muhimu kukumbuka kwamba mchakato wa ombi la makazi ya kudumu…
1.2Kutana na Wakala Tatu za Serikali
Kuna mashirika matatu ya serikali ambayo yanafanya kazi na wakimbizi. Kila shirika lina majukumu tofauti: Mashirika haya yako tofauti na si lazima yajulishane habari moja kwa moja.
7.8Tathmini ya Hatari kabla ya Kuondolewa (PRRA)
Ikiwa utaondolewa Kanada, unaweza kutuma ombi la Tathmini ya Hatari Kabla ya Kuondolewa (PRRA). PRRA ni maombi ambapo unaomba ulinzi ili usirudishwe katika nchi ambako uko katika hatari ya kuteswa,…
4.4Dai la Ndani ya Nchi
Ikiwa uko Kanada, utaanza dai lako la ukimbizi kwa kutumia tovuti inayoitwa IRCC Portal.
4.10Kibali cha kazi
Ili uruhusiwe kufanya kazi kisheria nchini Kanada, lazima upate kibali cha kazi kutoka kwa serikali ya shirikisho. Hii inakuwezesha kufanya kazi nchini Kanada kwa masharti fulani. Vibali vya kufanya kazi…
7.9Maombi ya Kibinadamu na Huruma (H&C).
Ombi la Kibinadamu na Huruma (H&C) ni ombi kwa IRCC kupata kibali maalum cha kuwa mkazi wa kudumu wa Kanada. Unaweza kutuma ombi la H&C wakati hustahiki kwa programu zingine za…
4.5Miadi wa Bayometriki.
Kama sehemu ya mchakato wako wa kudai ukimbizi, utachukuliwa alama za vidole na picha zako. Hizi ndizo “bayometriki” zako.
4.9Msingi wa Madai na Simulizi
1.1Mchakato wa Madai ya Ukimbizi Wafafanuliwa
4.7Uchunguzi wa Kimatibabu wa Uhamiaji
7.4Linda Hali Yako ya Ukimbizi
2.2Andaa Taarifa Zako
Sehemu hii inakupa muhtasari kuhusu kuandaa maelezo kwa ajili ya dai lako. Itakuambia kuhusu ushahidi muhimu wa kuunga mkono hadithi yako. Itakuelezea jinsi ya kudhibiti na kueleza maelezo yako muhimu.…
3.2Kufanya kazi na Mwakilishi wako wa Kisheria
Kuchagua mwakilishi wa kisheria ni muhimu sana. Jifunze jinsi mwakilishi wako wa kisheria anapaswa kufanya kazi nawe, nini hafai kufanya, na jukumu lako ni nini. Jua ni nini cha kufanya…
4.3Dai La Bandari la Kuingia
Ukifika kwenye mpaka rasmi wa kuingia Kanada, unaweza kuanza dai la ukimbizi kwa Wakala wa Huduma za Mipaka ya Kanada (CBSA). Bandari ya Kuingia (POE) ni: Mwambie afisa wa CBSA…
2.1Anzisha Dai lako la Ukimbizi
Sehemu hii itakupa muhtasari wa jinsi dai la ukimbizi linavyoanza. Itajibu maswali ya msingi. Itakuelekeza jinsi ya kuanza dai lako. Pata maelezo ya kina kuhusu jinsi ya kuanzisha dai lako…
3.4Fanya kazi na Mkalimani wako
Ikiwa huna uzoefu wa kuzungumza kwa Kiingereza au Kifaransa unaweza kuhitaji mkalimani wa kukusaidia kuwasiliana wa watu. Ni muhimu kuwa na mkalimani ili uelewe kile kinachotokea wakati wa dai lako…
6.2Nani atakuwepo kwenye Mkutano wako wa Ombi la Ukimbizi?
Mikutano ya kusikiliza maombi ya wakimbizi ni ya faragha na hayaruhusu umma kuhudhuria. Ni watu fulani pekee wanaweza kuhudhuria kikao chako cha ombi la mkimbizi: Mwanachama wa IRB-RPD Mtoa-uamuzi katika…
7.6Rufaa kwa Kamati ya Uhamiaji na Wakimbizi – Kitengo cha Rufaa ya Wakimbizi (IRB-RAD)
Ikiwa hukubaliani na uamuzi wa IRB-RPD wa kutakaa ombi lako, unaweza kukata rufaa dhidi ya uamuzi huo. Kukata rufaa sio tu nafasi ya pili ya kuwasilisha dai lako, lazima kuwe…
